sw_psa_text_ulb/09/15.txt

1 line
224 B
Plaintext

\v 15 Mataifa yamedidimia chini katika shimo ambalo walilolitengeneza; miguu yao imenaswa kwenye nyavu walioificha wenyewe. \v 16 Yahwe amejidhihilisha; na kutekeleza hukumu; waovu wameangamia kwa matendo yao wenyewe. Selah