\v 4 Yeye aketie katika mbingu atacheka kwa dharau mbele yao; Bwana atawadhihaki wao. \v 5 Kisha ataongea nao katika hasira yake na kuwaogofya kwa gadhabu yake, akisema,