sw_psa_text_ulb/71/14.txt

1 line
284 B
Plaintext

\v 14 Lakini nitakutumainia wewe siku zote na nitakusifu wewe zaidi na zaidi. \v 15 Kinywa changu kitaongea kuhusu haki yako na wokovu wako mchana kutwa, ingawa ziwezi kuzielewa maana ni nyingi mno. \v 16 Nitakuja na matendo yenye nguvu ya Bwana Yahwe; nitataja haki yako, yako pekee.