1 line
317 B
Plaintext
1 line
317 B
Plaintext
\v 14 Unisamehe kwa ajili ya umwagaji damu, Mungu wa wokovu wangu, nami nitapiga kelele za shangwe ya haki yako. \v 15 Ee Bwana, uifungue midomo yangu, na mdomo wangu itazieleza sifa zako. \v 16 Kwa maana wewe haufurahishwi katika sadaka, vinginevyo ningekutolea sadaka; wewe hauwi radhi katika sadaka ya kuteketezwa. |