sw_psa_text_ulb/50/03.txt

1 line
270 B
Plaintext

\v 3 Mungu wetu huja naye hakai kimya; mbele yake moto hula, na kuna dhoruba kubwa karibu naye. \v 4 Yeye huziita mbingu zilizo juu na nchi ili kwamba aweze kuwahukumu watu wake: \v 5 Kwa pamoja kusanyikeni waaminifu wangu kwangu, wale waliofanya nami agano kwa sadaka."