sw_psa_text_ulb/109/08.txt

1 line
268 B
Plaintext

\v 8 Siku zake na ziwe chahe; mamlaka yake na yachukuliwe na mtu mwingine. \v 9 Watoto wake wawe yatima, na mke wake awe mjane. \v 10 Watoto wake wenye kutanga tanga na kuombaomba, wakiondoka katika nyumba zao zilizo haribika na kuomba chakula au pesa kwa wapita njia.