sw_psa_text_ulb/109/01.txt

1 line
229 B
Plaintext

\c 109 \v 1 Zaburi ya Daudi. Mungu ninaye msifu, usinyamaze kimya. \v 2 Kwa maana waovu na wadanganyifu wananishambulia; wanazungumza uongo dhidi yangu. \v 3 Wananizunguka na kusema mambo ya chuki, na wananishambulia bila sababu.