sw_psa_text_ulb/107/08.txt

1 line
310 B
Plaintext

\v 8 Oh ili watu wamsifu Yahwe kwa ajili ya uaminifu wa agano lake na kwa mambo ya ajabu aliowatendea wanadamu! \v 9 Maana hutosheleza shauku za walio na kiu, na hamu ya wale wenye njaa yeye huwashibisha kwa mambo mema. \v 10 Baadhi walikaa katika giza na uvuli wa mauti, walifungwa katika mateso na minyororo.