\v 5 Nilijilaza chini na kusinzia; na niliamka, kwa kuwa Yahweh alinilinda. \v 6 Sitaogopa kusanyiko la watu ambao wamejipanga kinyume na mimi pande zote.