1 line
283 B
Plaintext
1 line
283 B
Plaintext
\v 9 Nitakuimbia wimbo mpya, Mungu; kwa kinanda cha nyuzi kumi nitakuimbia sifa wewe, \v 10 Uwapaye wafalme wokovu, uliyemuokoa Daudi mtumishi wako dhidi ya upanga wa uovu. \v 11 Uniokoe na unitoe mkononi mwa wageni. Midomo yao huongea uongo, na mkono wao wa kuume ni mkono wa uongo. |