\c 117 \v 1 Msifuni Yahwe, enyi mataifa yote; enyi watu mhimidini yeye. \v 2 Kwa kuwa uaminifu wa agano lake ni mkuu kwetu, na uaminifu wa Yahwe wadumu milele. Msifuni Yahwe.