1 line
149 B
Plaintext
1 line
149 B
Plaintext
\v 31 Utukufu wa Yahwe na udumu milele; Yahwe na aufurahie uumbaji wake. \v 32 Yeye hutazama nchi, nayo hutikisika; huigusa milima, nayo hutoa moshi. |