\v 27 Hawa wote hukutazama wewe uwape chakula kwa wakati. \v 28 Unapowapa chakula, hukusanyika; ufunguapo mkono wako, wanatosheka.