\v 38 Lakini wewe umemtupa na kumkataa; umemkasirikia mfalme mpakwa mafuta wako. \v 39 Wewe umelikataa agano la mtumishi wako; umeinajisi taji yake ardhini. \v 40 Umevunja kuta zake zote; umeharibu ngome yake.