sw_psa_text_ulb/89/27.txt

1 line
291 B
Plaintext

\v 27 Nitamjalia kuwa kama mzaliwa wangu wa kwanza, aliye inuliwa zaidi juu ya wafalme wa nchi. \v 28 Nitaongeza uaminifu wa agano langu kwake milele; na agano langu pamoja naye litakuwa salama. \v 29 Nitaufanya uzao wake kudumu milele na kiti chake cha enzi kitadumu kama mbingu zilizo juu.