sw_psa_text_ulb/89/24.txt

1 line
255 B
Plaintext

\v 24 Kweli yangu na uaminifu wa agano vitakuwa pamoja naye; kupitia jina langu atakuwa mshindi. \v 25 Nitaweka mkono wake juu ya bahari na mkono wake wa kuume juu ya mito. \v 26 Yeye ataniita, 'Wewe ni Baba yangu, Mungu wangu, na mwamba wa wokovu wangu.'