\v 13 Una mkono wa uweza na mkono wenye nguvu, na mkono wako wa kuume uko juu. \v 14 Haki na hukumu ni msingi wa kiti chako; uaminifu wa agano lako na uaminifu huja mbele zako.