sw_psa_text_ulb/79/06.txt

1 line
156 B
Plaintext

\v 6 Mwaga hasira yako juu ya mataifa ambayo hayakujui wewe na ufalme ambao hauliiti jina lako. \v 7 Kwa maana walimvamia Yakobo na waliharibu kijiji chake.