sw_psa_text_ulb/74/16.txt

1 line
152 B
Plaintext

\v 16 Mchana ni wako, na usiku ni wako pia; uliweka jua na mwezi mahali pake. \v 17 Umeiweka mipaka ya nchi; umeumba majira ya joto na majira ya baridi.