sw_psa_text_ulb/74/12.txt

1 line
162 B
Plaintext

\v 12 Lakini Mungu amekuwa mfalme wangu tangu enzi, akileta wokovu duniani. \v 13 Wewe uliigawa bahari; ulishambulia vichwa vya majitu ya kutisha baharini majini.