\v 10 Kwa hiyo watu wake huwageukia na maji yaliyojaa hukaushwa. \v 11 Nao husema, "Mungu anajuaje? Yako maarifa kwake yeye aliye juu?" \v 12 Fahamu: watu hawa ni waovu; mara zote hawajali, wakifanyika matajiri na matajiri.