sw_psa_text_ulb/71/10.txt

1 line
206 B
Plaintext

\v 10 Maana adui zangu wanazungumza kuhusu mimi; wale wanao fuatilia uhai wangu wanapanga njama pamoja. \v 11 Wao husema, "Mungu amemuacha; mfuateni na mumchukue, maana hakuna yeyote awezaye kumuokoa yeye."