\v 5 Watu wakushukuru wewe, Mungu; watu wote wakusifu wewe. \v 6 Nchi imetoa mavuno yake na Mungu, Mungu wetu, ametubariki.