1 line
287 B
Plaintext
1 line
287 B
Plaintext
\v 14 Urafiki wa Yahwe ni kwa ajili ya wale wanao mheshimu yeye, naye hulifanya agano lake lijulikane kwao. \v 15 Siku zote macho yangu yanamtazama Yahwe, kwa kuwa yeye ataifungua miguu yangu kwenye nyavu. \v 16 Unigeukie mimi na unihurumie; kwa maana niko peke yangu na niliye matesoni. |