\v 12 Ni nani ambaye anamuogopa Yahwe? Bwana atamfundisha yeye katika njia ambayo anapaswa kuichagua. \v 13 Maisha yake yataenenda katika uzuri; na uzao wake utairithi nchi.