sw_psa_text_ulb/25/01.txt

1 line
255 B
Plaintext

\c 25 \v 1 Kwako, Yahwe, nayainua maisha yangu! \v 2 Mungu wangu, ninaamini katika wewe. Usiniache niaibishwe; usiwaache maadui zangu wafurahie ushindi wao kwangu. \v 3 Asiaibishwe mtu yeyote anaye kutumaini bali waaibishwe wale watendao hila bila sababu!