sw_psa_text_ulb/148/13.txt

1 line
265 B
Plaintext

\v 13 Na walisifu jina la Yahwe, kwa kuwa jina lake pekee limetukuka na utukufu wake umeongezwa juu ya nchi na mbingu. \v 14 Naye ameyainua mapembe ya watu wake kwa ajili ya sifa kutoka kwa waaminifu wake wote, Waisraeli, watu wa karibu na moyo wake. Msifuni Yahwe.