\v 9 Msifuni yeye, enyi milima na vilima, miti ya matunda na mierezi yote, \v 10 Wanyama pori na wanyama wafugwao, viumbe vitambaavyo na ndege.