\v 5 Na vilisifu jina la Yahwe, maana aliamuru, navyo vikaumbwa. \v 6 Pia ameviimrisha milele na milele; naye alitoa amri ambayo haitabadilika.