\v 3 Msifuni yeye, enyi jua na mwezi; msifuni yeye, nyota zote zing'aazo. \v 4 Msifuni yeye, enyi mbingu zilizo juu zaidi na maji yaliyo juu ya anga.