\v 3 Ee Yahwe, mtu ni kitu gani hata umtazame au mwana wa mtu hata umfikirie? \v 4 Mtu ni kama pumzi, siku zake ni kama uvuli upitao.