\v 17 Ni jinsi gani mawazo yako ni ya thamani kwangu, Ee, Mungu! jinsi gani ilivyo kubwa jumla yake! \v 18 Kama nikijaribu kuyahesabu, ni mengi kuliko mchanga; niamkapo bado niko na wewe.