1 line
200 B
Plaintext

\v 13 Wewe uliumba sehemu zangu za ndani; uliniumba tumboni mwa mama yangu. \v 14 Nitakusifu; kwa maana nimeumbwa kwa jinsi ya ajabu; matendo yako ni ya ajabu; na nafsi yangu yalijua hili vizuri sana.