\v 9 Kama nikipaa kwa mbawa za asubuhi na kwenda kuishi pande za mwisho wa bahari, \v 10 hata huko mkono wako utaniongoza, mkono wako wa kuume utanishika.