\v 7 Niende wapi mbali na roho yako? Niende wapi niukimbie uwepo wako? \v 8 Kama nikipaa mbinguni, uko huko; kama nikifanya kitanda changu Kuzimuni, tazama, uko huko.