|
\v 24 Mshukuruni yeye ambaye ametupa ushindi juu ya adui zetu, kwa maana fadhili zake za dumu milele. \v 25 Yeye awapaye chakula viumbe hai wote, kwa maana fadhili zake za dumu milele. \v 26 Mshukuruni Mungu wa mbinguni, kwa maana fadhili zake za dumu milele. |