1 line
278 B
Plaintext
1 line
278 B
Plaintext
\v 13 Mshukuruni yeye aliyeigawa Bahari ya Shamu, kwa maana fadhili zake za dumu milele. \v 14 Na kuwapitisha Waisraeli katikati yake, kwa maana fadhili zake za dumu milele. \v 15 Lakini akamtupa Farao na jeshi lake katika Bahari ya Shamu, kwa maana fadhili zake za dumu milele. |