|
\v 19 Enyi kizazi cha Israeli, mtukuzeni Yahwe; kizazi cha Haruni; mtukuzeni Yahwe. \v 20 Kizazi cha Lawi, mtukuzeni Yahwe; wamchao Yahwe, mtukuzeni; wamchao Yahwe, mtukuzeni yeye. \v 21 Atukuzwe Yahwe katika Sayuni, yeye aishiye Yerusalemu. Msifuni Yahwe. |