\v 17 Hapo nitachipusha pembe kwa ajili ya Daudi, na kuweka taa juu kwa ajili ya mpakwa mafuta wangu. \v 18 Nitawavisha adui kwa aibu, bali juu yake taji yake itang'aa."