sw_psa_text_ulb/124/01.txt

1 line
240 B
Plaintext

\c 124 \v 1 "Kama Yahwe asingekuwa upande wetu," Israeli na aseme sasa, \v 2 "Kama asingekuwa Yahwe ambaye alikuwa upande wetu, wakati watu walipoinuka dhidi yetu; \v 3 basi wangekuwa wametumeza tungali hai, hasira yao ilipozidi dhidi yetu.