\v 11 Mwimbieni sifa Yahwe, anaye tawala katika Sayuni; waambieni mataifa yale aliyo yatenda. \v 12 Kwa kuwa Mungu alipizae kisasi cha damu hukumbuka; naye hasahau kilio cha anayeonewa.