\v 32 Wanyenyekevu wameona na kufurahi; ninyi mnao matafuta Mungu, mioyo yenu itiwe nguvu. \v 33 Maana Yahwe husikia wenye uhitaji naye hawadharau wafungwa wake.