\v 10 Wakati nilipolia na kutokula chakula, walinitukana. \v 11 Nilipotengeneza mavazi ya gunia, nikawa kituko kwao. \v 12 Wale wakaao katika lango la mji huniseng'enya; mimi ni wimbo wa walevi.