sw_psa_text_ulb/69/05.txt

1 line
248 B
Plaintext

\v 5 Mungu, wewe unaujua ujinga wangu, na dhambi zangu hazifichiki kwako. \v 6 Usiwaache wale wanao kungoja wewe waaibishwe kwa sababu yangu, Bwana Yahwe wa majeshi; usiwaache wale wanaokutafuta wewe wadharauliwe kwa sababu yangu, Mungu wa Israeli.