sw_psa_text_ulb/96/05.txt

1 line
164 B
Plaintext

\v 5 Maana miungu yote ya mataifa ni sanamu, bali ni Yahwe aliye zifanya mbingu. \v 6 Heshima na adhama ziko mbele zake; nguvu na uzuri zimo katika patakatifu pake.