\v 6 Ee njooni, tumwabudu na tupige magoti; tupige magoti mbele za Yahwe, muumbaji wetu: \v 7 Kwa maana yeye ni Mungu wetu; na sisi tu watu wa malisho yake, na kondoo wa mkono wake. Ni heri leo mngesikia sauti yake!