sw_psa_text_ulb/71/21.txt

1 line
187 B
Plaintext

\v 21 Uiongeze heshima yangu; rudi tena na unifariji. \v 22 Nami pia nitakushukuru kwa kinubi kwa ajili ya uaminifu wako, Mungu wangu; kwako nitaimba sifa kwa kinubi, Mtakatifu wa Israel.