sw_psa_text_ulb/71/06.txt

1 line
213 B
Plaintext

\v 6 Nimekuwa nikisaidiwa na wewe tangu tumboni; wewe ndiye yule uliyenitoa tumboni mwa mama yangu; sifa zangu zitakuhusu wewe siku zote. \v 7 Mimi ni mfano bora kwa watu wangu; wewe ni kimbilio langu lenye nguvu.