sw_psa_text_ulb/71/04.txt

1 line
174 B
Plaintext

\v 4 Uniokoe mimi, Mungu wangu, kutoka katika mkono wa asiye haki na katili. \v 5 Maana wewe ni tumaini langu, Bwana Yahwe. Nimekuamini wewe siku zote tangu nilipokuwa mtoto.