sw_psa_text_ulb/71/01.txt

1 line
306 B
Plaintext

\c 71 \v 1 Katika wewe, Yahwe, Napata kimbilio salama; usiniache niaibishwe. \v 2 Uniokoe na kunifanya salama katika haki yako; geuzia sikio lako kwangu. \v 3 Uwe kwagu mwamba kwa ajili ya kimbilio salama ambako naweza kwenda siku zote; wewe umeamuru kuniokoa, kwa kuwa wewe ni mwamba wangu na ngome yangu.